Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,107
- 10,609
Mahakama ziko wazi usieneze propaganda ili wrote tuaminiAnaandika malisa GJ
Fikiria unanunua umeme wa 45K, serikali inalamba 11K kupitia makato mbalimbali, na wewe unaambulia umeme wa 34K tu. Fikiria wewe ni mtumishi, umekatwa PAYE, umekatwa HESLB, umekatwa NSSF. Zote hizo unaichangia serikali. Halafu kile kidogo unachobakiza ukienda kujaza mafuta serikali inakula karibu TZS 700 kwa lita. Ukinunua umeme ndo kama hivi.
Ukinunua sukari, chumvi, mafuta, kote huko wanakulamba kodi zenye kuumiza. Bado hujamtumia pesa mama yako mgonjwa kijijjni ukutane na bwana tozo.
Sasa badala ya kuwaza namna ya kutatua changamoto kama hizi zinazomuumiza mwananchi, tunawaza uchaguzi wa 2025 na maumbile ya wagombea. What the hell with maumbile? Awe mwanamke au mwanaume it doesnt matter, muhimu tunataka kiongozi anayeweza kushughulikia matatizo yetu.
Kama mtu hawezi kushughulika na matatizo ya watu wake, uanaume au uanamke wake unatusaidia nini?
View attachment 1940340
Juzi ulikua unalaumu mishahara haijaongezwa leo umebadilika tena?Nyie wapinzani wa CCM hamjawahi kuwa serious!!! Huyu Marisa ndo mwanzilishi wa ule msemo wa mama anaupiga mwingi!!! Mara mama ameamua kuwakomesha sukuma gang!!
Kamwe nchi haiwezi endeshwa bila Kodi,mwacheni rais afanye Mambo ,nyie pambaneni kumtoa gaidi Mbowe sello
Mkuu Sijawahi ulaumu serikali ya CCM,labda umesahau,nilaumu kuhusu mishahara Wakati nimepanda daraja na kiasi Cha shilingi 200,000 kimeongezeka kwenye mshahara wanguJuzi ulikua unalaumu mishahara haijaongezwa leo umebadilika tena?
Sasa nchi itaendeshwaje bila Kodi? Tukupe basi nchi uongoze bila kukata Kodi....tupunguzeni malalamiko, mwishowe turudi tulikotoka kwenye vitisho na hofu.
Anayeongoza nchi yupo Msoga kuleeeerr anatumia remote hlf eti apewe 2025 tutalala barabarani watuue,yan kila kitu hvy hvy,umeme hvy,maji hvy,kutishiana unajua mi nani kumerudi,mafisadi ndio muda wao wa kupigaAnaandika malisa GJ
Fikiria unanunua umeme wa 45K, serikali inalamba 11K kupitia makato mbalimbali, na wewe unaambulia umeme wa 34K tu. Fikiria wewe ni mtumishi, umekatwa PAYE, umekatwa HESLB, umekatwa NSSF. Zote hizo unaichangia serikali. Halafu kile kidogo unachobakiza ukienda kujaza mafuta serikali inakula karibu TZS 700 kwa lita. Ukinunua umeme ndo kama hivi.
Ukinunua sukari, chumvi, mafuta, kote huko wanakulamba kodi zenye kuumiza. Bado hujamtumia pesa mama yako mgonjwa kijijjni ukutane na bwana tozo.
Sasa badala ya kuwaza namna ya kutatua changamoto kama hizi zinazomuumiza mwananchi, tunawaza uchaguzi wa 2025 na maumbile ya wagombea. What the hell with maumbile? Awe mwanamke au mwanaume it doesnt matter, muhimu tunataka kiongozi anayeweza kushughulikia matatizo yetu.
Kama mtu hawezi kushughulika na matatizo ya watu wake, uanaume au uanamke wake unatusaidia nini?
View attachment 1940340
Sasa nchi itaendeshwaje bila Kodi? Tukupe basi nchi uongoze bila kukata Kodi....tupunguzeni malalamiko, mwishowe turudi tulikotoka kwenye vitisho na hofu.
Hangaya tunae Hadi 2030Anaandika malisa GJ
Fikiria unanunua umeme wa 45K, serikali inalamba 11K kupitia makato mbalimbali, na wewe unaambulia umeme wa 34K tu. Fikiria wewe ni mtumishi, umekatwa PAYE, umekatwa HESLB, umekatwa NSSF. Zote hizo unaichangia serikali. Halafu kile kidogo unachobakiza ukienda kujaza mafuta serikali inakula karibu TZS 700 kwa lita. Ukinunua umeme ndo kama hivi.
Ukinunua sukari, chumvi, mafuta, kote huko wanakulamba kodi zenye kuumiza. Bado hujamtumia pesa mama yako mgonjwa kijijjni ukutane na bwana tozo.
Sasa badala ya kuwaza namna ya kutatua changamoto kama hizi zinazomuumiza mwananchi, tunawaza uchaguzi wa 2025 na maumbile ya wagombea. What the hell with maumbile? Awe mwanamke au mwanaume it doesnt matter, muhimu tunataka kiongozi anayeweza kushughulikia matatizo yetu.
Kama mtu hawezi kushughulika na matatizo ya watu wake, uanaume au uanamke wake unatusaidia nini?
View attachment 1940340
Kwa hiyo kama ulikuwa unadaiwa ulitaka usikatwe deni?Wamenyofoa almost 25%
Tozonia ya Chifu Hang ya!
Hamia Rwanda unasubilia niniTumepishana tuchukulie Rwanda pamoja na kuwa simpendi Kagame kwa kuwa ni dikteta ná muuaji wa wapinzani wake lakini katika kipindi kifupi amenyanyua sana vipato vya Wafanyakazi na Wakulima na hata kuwavutia waliohamia ughaibuni kurudi kwao kwa maelfu ili kuchangamkia ajira zinazolipa vizuri. Nchi yao ni safi sana utadhani uko majuu kwenye nchi zilizo safi. Na mafanikio hayo ni ya miaka 24 au tu baada ya kuuana 1994z. Samia KISHASHINDWA ndani ya miezi minne tu. Hana jipya hasa ukitilia maanani alikuwemo kwenye Serikali tangu 2015. Amebaki kufanya viroja tu lakini uongozi umeshamshinda.
Lipeni Kodi nyie kenge,hakuna vya bure😄😄 Mkuu unataka imshinde Mara ngapi wakt ashafeli toka mwanzo kabisa
We unapiga tantalillah tu. Umewahi kufika Rwanda ama unaingelea stori za vijiwe vya kahawa.Tumepishana tuchukulie Rwanda pamoja na kuwa simpendi Kagame kwa kuwa ni dikteta ná muuaji wa wapinzani wake lakini katika kipindi kifupi amenyanyua sana vipato vya Wafanyakazi na Wakulima na hata kuwavutia waliohamia ughaibuni kurudi kwao kwa maelfu ili kuchangamkia ajira zinazolipa vizuri. Nchi yao ni safi sana utadhani uko majuu kwenye nchi zilizo safi. Na mafanikio hayo ni ya miaka 24 au tu baada ya kuuana 1994z. Samia KISHASHINDWA ndani ya miezi minne tu. Hana jipya hasa ukitilia maanani alikuwemo kwenye Serikali tangu 2015. Amebaki kufanya viroja tu lakini uongozi umeshamshinda.
Hamia Rwanda unasubilia nini
Sio kwamba ujinyonge wewe unaelialia hutaki kulipa kodi? Pole sanaAcha ujinga wewe!!! Katiba inaniruhusu kuikosoa hii Serikali haramu kama unakereka jinyonge.
We unapiga tantalillah tu. Umewahi kufika Rwanda ama unaingelea stori za vijiwe vya kahawa.
Kama hujui kitu kaa kimya kuliko kiongea utopolo usio na elimu nao.
Natamani sikunmoja nikupeleke Rwanda then nikurudishe Tz halafu nikuulize tene umeona nni.
Utakuwa ni mpuuzi ukisema Tanzania kuna maisha magumu kuliko Rwanda.
Kama hujatembea kaa kinya kabisa.
Sio kwamba ujinyonge wewe unaelialia hutaki kulipa kodi? Pole sana
Mlilazimishwa kwani kuongoza? Waachieni wengine basiSasa nchi itaendeshwaje bila Kodi? Tukupe basi nchi uongoze bila kukata Kodi....tupunguzeni malalamiko, mwishowe turudi tulikotoka kwenye vitisho na hofu.
Hii ni hawamu ya 4BTumepishana tuchukulie Rwanda pamoja na kuwa simpendi Kagame kwa kuwa ni dikteta ná muuaji wa wapinzani wake lakini katika kipindi kifupi amenyanyua sana vipato vya Wafanyakazi na Wakulima na hata kuwavutia waliohamia ughaibuni kurudi kwao kwa maelfu ili kuchangamkia ajira zinazolipa vizuri. Nchi yao ni safi sana utadhani uko majuu kwenye nchi zilizo safi. Na mafanikio hayo ni ya miaka 24 au tu baada ya kuuana 1994z. Samia KISHASHINDWA ndani ya miezi minne tu. Hana jipya hasa ukitilia maanani alikuwemo kwenye Serikali tangu 2015. Amebaki kufanya viroja tu lakini uongozi umeshamshinda.