Umeme wa 45,000 unakatwa elfu 11 unabakiwa na elfu 34 huyu nchi imemshinda

Umeme wa 45,000 unakatwa elfu 11 unabakiwa na elfu 34 huyu nchi imemshinda

Lakini tunaweza kulinganisha ukubwa wa nchi ya Rwanda na hii ya kwetu? Sisi tunafyatuana, population ya kutosha, Tena Population iliyodekezwa na ujamaa isiyotaka kulipa Kodi na inayoona inaonewa kufata Sheria...
Tumpe mama muda, na tumuombee, nchi ngumu sana hii.
Kama ni ngumu atoke apishe wengine.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatimae Malisa kajitokeza!

Huyu kila siku ilikuwa lazima aweke makala ya kumsifu mama kwamba anaupiga mwinhi
 
huyu mama anadhani nchi ni kikundi cha kikoba,
gharama za maisha zimekua kubwa ghafla alafu mtu analeta taarabu za jinsia.
Unaonaje mama anavyowakomesha mataga?

Unanaje manavyopumua baada ya kunyanyaswa sana kwa miaka 5?
 
Lakini tunaweza kulinganisha ukubwa wa nchi ya Rwanda na hii ya kwetu? Sisi tunafyatuana, population ya kutosha, Tena Population iliyodekezwa na ujamaa isiyotaka kulipa Kodi na inayoona inaonewa kufata Sheria...
Tumpe mama muda, na tumuombee, nchi ngumu sana hii.
Principles za Management ni zile zile, kama liwe darasa au shule kwa ujumla! Mama hana vision ni bora liende tu. Ila kwa hizi tozo zao wakileta mambo ya ******* ya kugawana majasho yetu kifisadi tutaumizana.
 
Wapi nilipoandika sitaki kulipa kodi pimbi wewe? Nalipa kodi kubwa sana ambayo inaweza kukulipa mishahara yako yote ya mwaka mzima.
Sikiliza hawa wanaolalamika kuhusu hii Serikali haramu

Serikali ya awamu ya 4B 😅😅😅
 
Wanasiasa wanaogopa uchaghuzi, si mustakabali wa nchi.
Ndio Mh. Samia alichokighihirisha jana.
 
Demokrasia hamna, iko midomoni tu. Maendeleo hakuna (miundombinu mibovu au haitoshi, vipato vya wananchi ni kiduchu, elimu haikidhi viwango, nk). Katiba bora hakuna.
Wanachoweza ni kufuja hata kidogo kilichopo kwa manufaa ya familia zao. Miaka 60 ya uhuru ni kama nchi iko huru leo, na inaanza moja hatua. Hakuna cha kujivunia, labda ujinga na umaskini kama ni sifa ya kujivunia.
 
Nyie wapinzani wa CCM hamjawahi kuwa serious!!! Huyu Marisa ndo mwanzilishi wa ule msemo wa mama anaupiga mwingi!!! Mara mama ameamua kuwakomesha sukuma gang!!

Kamwe nchi haiwezi endeshwa bila Kodi,mwacheni rais afanye Mambo ,nyie pambaneni kumtoa gaidi Mbowe sello
Jifunze kuandika kwanza kabla ya kurukia mambo makubwa ya kisiasa
 
Anaandika malisa GJ
Fikiria unanunua umeme wa 45K, serikali inalamba 11K kupitia makato mbalimbali, na wewe unaambulia umeme wa 34K tu. Fikiria wewe ni mtumishi, umekatwa PAYE, umekatwa HESLB, umekatwa NSSF. Zote hizo unaichangia serikali. Halafu kile kidogo unachobakiza ukienda kujaza mafuta serikali inakula karibu TZS 700 kwa lita. Ukinunua umeme ndo kama hivi.

Ukinunua sukari, chumvi, mafuta, kote huko wanakulamba kodi zenye kuumiza. Bado hujamtumia pesa mama yako mgonjwa kijijjni ukutane na bwana tozo.

Sasa badala ya kuwaza namna ya kutatua changamoto kama hizi zinazomuumiza mwananchi, tunawaza uchaguzi wa 2025 na maumbile ya wagombea. What the hell with maumbile? Awe mwanamke au mwanaume it doesnt matter, muhimu tunataka kiongozi anayeweza kushughulikia matatizo yetu.

Kama mtu hawezi kushughulika na matatizo ya watu wake, uanaume au uanamke wake unatusaidia nini?

View attachment 1940340
Yeye anashughulika na kubaki madarakani tu, matatizo yenu shughulikeni nayo wenyewe
 
Back
Top Bottom