Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
Haa😂😀😁😃Tafuta hela ndugu yangu.
Wanakata 2000 kwa sababu tozo wameanza ku-effect tangu mwezi wa 7. Hivyo wanakata ya Mwezi July na August Mkuu. Kazi iendelee ikiambatana na ujumbe wa CCM kwenda Zambia
Unaishi dunia gani?Ndugu leo nimenunua umeme wa tshs. 5000 nimekatwa tshs. 2000 jumla sawa na asilimia 45%.View attachment 1905687
Hapa ndo tumefikia na serikali yetu ndugu zangu. Hivi kama ni kodi ya uzalendo kwa nini viongozi wasioneshe mifano. Asilimia 5 ikatwe kwenye mishahara ya hawa watu: (Rais na makamu, Waziri Mkuu na maWaziri, Wabunge, maRC, maDC na DED). Nimetaja hao watu sababu wao wanaweza ishi kwa marupurupu ya kazi zao bila hata kugusa mishahara!
Ni sahihi KABISA kukatwa 2000, kwa mujibu wao: wao wanakata kodi ya miezi miwili wa 7 na huu wa 8.
Uongo uongo acha kupotosha iyo Kodi inakatwa Mara moja kila mwezi na ni tshs 1000 iyo elfu 2 imekatwa ili kufidia kodi ya jengo ya mwezi July mwaka wa fedha ulipoanzana kama nanunua umeme mara mblli kwa mwezi nitakatwa 2000 yaani kwa mwaka 24000
Simple tu wanaongeza Kodi kwny vifaa vya Sola vinavyoingizwa nchini.Mimi nikijenga nyumba yangu naweka sola upumbavu sutaki.
Ndugu leo nimenunua umeme wa tshs. 5000 nimekatwa tshs. 2000 jumla sawa na asilimia 45%.View attachment 1905687
Hapa ndo tumefikia na serikali yetu ndugu zangu. Hivi kama ni kodi ya uzalendo kwa nini viongozi wasioneshe mifano. Asilimia 5 ikatwe kwenye mishahara ya hawa watu: (Rais na makamu, Waziri Mkuu na maWaziri, Wabunge, maRC, maDC na DED). Nimetaja hao watu sababu wao wanaweza ishi kwa marupurupu ya kazi zao bila hata kugusa mishahara!
Dah ndo nimeacha kupost hpa baada ya kuona uzi wako mkuu! Hawa jamaa sjui wapoje yaani, hadi nikajua vendor wanachakachua! Tareh 20 nilinunua wa buku5 ika fresh unit 13 na point kadhaa! Lakin jana bhana naona na mm nikapewa kitu cha unit 8.3 kuuliza kwa vendor akanifafanulia kwamba wamekata makato ya jengo kwa mwezi wa saba na wa nane! Nilichana token kwa kweli!Ndugu leo nimenunua umeme wa tshs. 5000 nimekatwa tshs. 2000 jumla sawa na asilimia 45%.View attachment 1905687
Hapa ndo tumefikia na serikali yetu ndugu zangu. Hivi kama ni kodi ya uzalendo kwa nini viongozi wasioneshe mifano. Asilimia 5 ikatwe kwenye mishahara ya hawa watu: (Rais na makamu, Waziri Mkuu na maWaziri, Wabunge, maRC, maDC na DED). Nimetaja hao watu sababu wao wanaweza ishi kwa marupurupu ya kazi zao bila hata kugusa mishahara!
Nishakatwa 6000 mpaka sasa hivi nmenunua umeme mara tatu, system zao hazipo vzrUongo uongo acha kupotosha iyo Kodi inakatwa Mara moja kila mwezi na ni tshs 1000 iyo elfu 2 imekatwa ili kufidia kodi ya jengo ya mwezi July mwaka wa fedha ulipoanza
Tulips kodi nchi hii itajengwa na did watanzania
hawa jamaa ni wezi kwa kweli wanaamua kuchukua pesa kwa nguvu..Nishakatwa 6000 mpaka sasa hivi nmenunua umeme mara tatu, system zao hazipo vzr
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app