Umeme wa 5,000 nimekatwa 2000. Hii haiko sawa!

Umeme wa 5,000 nimekatwa 2000. Hii haiko sawa!

na kama nanunua umeme mara mblli kwa mwezi nitakatwa 2000 yaani kwa mwaka 24000
Hata ununue umeme mara kumi huto katwa tena kodi mwezi huu, hadi mwezi wa 9 na ndio ukatwe alfu moja na watafululiza kukata alfu moja moja hadi basi.
 
Mimi nikijenga nyumba yangu naweka sola upumbavu sutaki.
Ukiweka Sola utakuwa hujakwepa upumbavu maana Kodi ya jengo utalipa kwa kupanga foleni kule TRA.
Kwani unadhani kabla ya kuunganisha kwenye luku majengo yalikuwa hatalipiwi Kodi? Mnaopiga kelele Ni wapangaji sisi wenye nyumba miaka yote tunalipa Kodi ya jengo 10000 kwa mwaka tulikuwa hatuwaambii tu maana haiwahisu.
 
Ukiweka Sola utakuwa hujakwepa upumbavu maana Kodi ya jengo utalipa kwa kupanga foleni kule TRA.
Kwani unadhani kabla ya kuunganisha kwenye luku majengo yalikuwa hatalipiwi Kodi? Mnaopiga kelele Ni wapangaji sisi wenye nyumba miaka yote tunalipa Kodi ya jengo 10000 kwa mwaka tulikuwa hatuwaambii tu maana haiwahisu.
Wanavyolialia na kushabikia utafikiri ni Kodi mpya
 
Uongo uongo acha kupotosha iyo Kodi inakatwa Mara moja kila mwezi na ni tshs 1000 iyo elfu 2 imekatwa ili kufidia kodi ya jengo ya mwezi July mwaka wa fedha ulipoanza

Tulips kodi nchi hii itajengwa na did Watanzania

Kwahiyo kama nimetoka kwangu kwa miezi 10 nikirudi nakuweka umeme wa 10k yote wanakata?
 
Ndugu leo nimenunua umeme wa tshs. 5000 nimekatwa tshs. 2000 jumla sawa na asilimia 45%.

View attachment 1905687

Hapa ndo tumefikia na serikali yetu ndugu zangu. Hivi kama ni kodi ya uzalendo kwa nini viongozi wasioneshe mifano. Asilimia 5 ikatwe kwenye mishahara ya hawa watu: (Rais na makamu, Waziri Mkuu na maWaziri, Wabunge, maRC, maDC na DED). Nimetaja hao watu sababu wao wanaweza ishi kwa marupurupu ya kazi zao bila hata kugusa mishahara!
hapo umekatwa 2000 ni kodi ya jengo kwa mwezi wa saba na wa nane mwezi ujao unakatwa 1000 tu usiogope
 
Inakuaje wakate 2,000/= si walisema ni 1,000/= ?
Wanakata miezi miwili July na August! Watanzania kukata 1000 mwezi wa 9. Kuna yeyote anayelipa ile ya matumizi madogo ambayo inalipiwa 9150 inapata units 75? Sasa sijui haitaathiri hii tarrif?
 
Hiyo ni makato ya mwezi wa sita na Saba, maana mwaka wa serikali unaanza mwezi wa sita. Kwahiyo wamekata makato ya miezi miwili.
Miezi inayofuata makato yatakuwa 1000 kila mwezi kama utakuwa una nunua umeme kila mwezi
Wacha hizo mkuu! Mwaka wa serikali unaanza Julai? Hivyo amekatwa Julai na Agosti!
 
Back
Top Bottom