Habari zenu..
Kuna watu wawili nimewaexperience katika maisha yangu....
Mmoja ni kaka yangu na mwingine ni Dada mmoja aliwahi kuwa bosi wangu..
Watu hawa muda mwingi wamekuwa wakilalamika kuwa wanahisi kama wanapigwa shoti wakigusa baadhi ya vitu, hasa vyenye asili ya Chuma, na vitu hivyo hivyo sisi wengine tukivigusa havitupigi hizo shoti...
Cha kushangaza Mara nyingine hata ukigusana nao unahisi kama kuna shoti Fulani hivi.. Gani kama umegusa waya uliochunika....
Hiki kitu kitaalamu kipoje??
Na kwa nini wawe hawahawa tu na si wengine..
Tatizo ni nini????
Ninyi mmeshawahi kuexperience kitu kama hiki??