Umeme wa binadamu

Umeme wa binadamu

PACHO HERRERA

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
460
Reaction score
527
Habari zenu..

Kuna watu wawili nimewaexperience katika maisha yangu....

Mmoja ni kaka yangu na mwingine ni Dada mmoja aliwahi kuwa bosi wangu..

Watu hawa muda mwingi wamekuwa wakilalamika kuwa wanahisi kama wanapigwa shoti wakigusa baadhi ya vitu, hasa vyenye asili ya Chuma, na vitu hivyo hivyo sisi wengine tukivigusa havitupigi hizo shoti...

Cha kushangaza Mara nyingine hata ukigusana nao unahisi kama kuna shoti Fulani hivi.. Gani kama umegusa waya uliochunika....

Hiki kitu kitaalamu kipoje??
Na kwa nini wawe hawahawa tu na si wengine..
Tatizo ni nini????

Ninyi mmeshawahi kuexperience kitu kama hiki??
 
Mkuu huo n umeme geu/sio mwamba geu wa sholo mwamba [emoji16][emoji16].. Namanisha static electricity mara nyingi inatokea ivo kwa sab ya nature of nguo mlizovaa hasa hasa polyester...
Nadhan umenielewa
 
Kuna jamaa humu alishawahi kutolea ufafanuzi wa kitaalam kuhusu hali hiyo kwa urefu sana ila simkumbuki ni nani. Jaribu kutafuta nyuzi zinazozungumzia hiyo kitu.
 
Hata Mi Nina hyo hali ila sio kila Mara, kuna demu nilikuwa nataka nisex naye akawa anasema nitamuua maana kila akinigusa anahisi hali ya shot nikajua utani
 
Back
Top Bottom