Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Umeme unaozalishwa na TANESCO ni junk electricity, umeme usio na viwango.
Ni kama mtu uliyevaa suti na tie, unaishia kulishwa na mama ntilie.
Umeme huu wa TANESCO, huko Mtibwa umesababisha maafa baada ya kuunguza swith board inayopokea umeme mkubwa na hatimaye kuharibu controls za boiler ya kiwanda. Boiler hilo likazalisha mvuke wa joto kali hadi kupasuka na kuua watu 11.
Chanzo cha yote hayo ni umeme usio na viwango, Junk Electricity.
Wananchi wengi wameunguliwa na nyumba na vifaa.
Ni muda sasa TANESCO wanatakiwa kufanya kazi kitaalam ili kupunguza adha hii.
Duniani kuna technolojia nyingi tu za kusawazisha mawimbi yatokanayo na "Power Surge", kitu unachoweza kulinganisga na tsunami za umeme zinazoleta uharibifu.