Umeme wa hovyo (Junk Electricity), unavyosababisha maafa na hasara

Umeme wa hovyo (Junk Electricity), unavyosababisha maafa na hasara

View attachment 2998229
Taariya ya vifo kutoka police
weli wewe reasoning yko ni ya nguini aliyekubuhu.
Unaelewa maana ya POWER SURGE?
Umeme ume peak na kuua control mechanism ya boiler.
Boiler likawa overheated kutokana na kufeli electrical controls(zimeungua).
Over heating inasababisha extreme pressure build up.
Pressure build up imesababisha pressure pipe bursts.

UMEEREWA RAKINI!
Maana ninyi ndo mnameza mahindi makavu mazima mazima, no digesting!
 
Umeme wa Tanzania umejaa Siasa aka anaupinga mwingi.

Haya ndiyo madhara mfumo wa nchi yetu kuruhusu wanasiasa kuingilia mambo ya Sayansi.

Watanzania tutafika ila hoi kabisa.
 
Umeme unaozalishwa na TANESCO ni junk electricity, umeme usio na viwango.

Ni kama mtu uliyevaa suti na tie, unaishia kulishwa na mama ntilie.

Umeme huu wa TANESCO, huko Mtibwa umesababisha maafa baada ya kuunguza swith board inayopokea umeme mkubwa na hatimaye kuharibu controls za boiler ya kiwanda. Boiler hilo likazalisha mvuke wa joto kali hadi kupasuka na kuua watu 11.

Chanzo cha yote hayo ni umeme usio na viwango, Junk Electricity.

Wananchi wengi wameunguliwa na nyumba na vifaa.
Ni muda sasa TANESCO wanatakiwa kufanya kazi kitaalam ili kupunguza adha hii.

Duniani kuna technolojia nyingi tu za kusawazisha mawimbi yatokanayo na "Power Surge", kitu unachoweza kulinganisga na tsunami za umeme zinazoleta uharibifu.
Mkuu mbona unachoma ,subili tule kwa urefu wa kamba yetu ,tutalitazama
 
Ili taifa lina watu wajinga sana. Mtibwa, Kagera na TPC huwa vinazalisha umeme wa mvuke wenyewe kutoka kwenye mabaki ya miwa. Kilichotokea kuko mtibwa ni mitambo yao (bomba) wa kisafirisha mvuke lilipata italafu. TANESCO haihusiki na jambo hilo.

Kijana jifunze kufatilia mambo acha kukurupuka
Hadi mi nimeshangaa hii..
Mwaka juzi nilikua field pale mkuu
 
Back
Top Bottom