Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #21
weli wewe reasoning yko ni ya nguini aliyekubuhu.View attachment 2998229
Taariya ya vifo kutoka police
Agreed!View attachment 2998229
Taariya ya vifo kutoka police
Bagosha! πππUMEEREWA RAKINI!
Maana ninyi ndo mnameza mahindi makavu mazima mazima, no digesting!
Mkuu mbona unachoma ,subili tule kwa urefu wa kamba yetu ,tutalitazamaUmeme unaozalishwa na TANESCO ni junk electricity, umeme usio na viwango.
Ni kama mtu uliyevaa suti na tie, unaishia kulishwa na mama ntilie.
Umeme huu wa TANESCO, huko Mtibwa umesababisha maafa baada ya kuunguza swith board inayopokea umeme mkubwa na hatimaye kuharibu controls za boiler ya kiwanda. Boiler hilo likazalisha mvuke wa joto kali hadi kupasuka na kuua watu 11.
Chanzo cha yote hayo ni umeme usio na viwango, Junk Electricity.
Wananchi wengi wameunguliwa na nyumba na vifaa.
Ni muda sasa TANESCO wanatakiwa kufanya kazi kitaalam ili kupunguza adha hii.
Duniani kuna technolojia nyingi tu za kusawazisha mawimbi yatokanayo na "Power Surge", kitu unachoweza kulinganisga na tsunami za umeme zinazoleta uharibifu.
Umeme wa TANESCO hauna viwango, umeanza kuua!Mkuu mbona unachoma ,subili tule kwa urefu wa kamba yetu ,tutalitazama
Mkuu kuwa kwako TANESCO hakutuzuii sisi kusema ukweliAcha uongo
Hadi mi nimeshangaa hii..Ili taifa lina watu wajinga sana. Mtibwa, Kagera na TPC huwa vinazalisha umeme wa mvuke wenyewe kutoka kwenye mabaki ya miwa. Kilichotokea kuko mtibwa ni mitambo yao (bomba) wa kisafirisha mvuke lilipata italafu. TANESCO haihusiki na jambo hilo.
Kijana jifunze kufatilia mambo acha kukurupuka