UMEME WA NGUO

UMEME WA NGUO

Ni kweli kabisa. Kuna yale mashuka ya bei rahisi ambapo wakati unajifunika yakagusana yanatoa umeme/short.

Hii experience utaipata kwenye guest za vijijini.
 
Static electricity ni jibu sahihi. Jaribu hizi chana za plastic chana nywele harakaharaka , chana inakuwa na sumaku, weka vitu vidogo utaona vinanata kwenye chana. Sio uchawi ila ni science
 
Static electricity ni jibu sahihi. Jaribu hizi chana za plastic chana nywele harakaharaka , chana inakuwa na sumaku, weka vitu vidogo utaona vinanata kwenye chana. Sio uchawi ila ni science
Nadhani niliwahi kuuliza humu kuwa kuna uhusiano gani kati ya ngozi ya binadam na kitu cha plastic
 
Huo umeme hauna tofauti na ule umeme unaopatikana gamboshi katika kijiji cha wachawi,,,ukienda usiku kijiji kizima kinawaka taa,,asubuhi,,,hauoni hata nyaya wa la nguzo wala solar,,hatari sana
 
Back
Top Bottom