From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,813
Kama yale pale ilalaNi kweli kabisa. Kuna yale mashuka ya bei rahisi ambapo wakati unajifunika yakagusana yanatoa umeme/short.
Hii experience utaipata kwenye guest za vijijini.
Nadhani niliwahi kuuliza humu kuwa kuna uhusiano gani kati ya ngozi ya binadam na kitu cha plasticStatic electricity ni jibu sahihi. Jaribu hizi chana za plastic chana nywele harakaharaka , chana inakuwa na sumaku, weka vitu vidogo utaona vinanata kwenye chana. Sio uchawi ila ni science
Dah umekosa hii physicsHaijawahi kunitokea