Umeme wa Shilingi 5,000 nimepata Units 8.5. Je, tutafika?

Umeme wa Shilingi 5,000 nimepata Units 8.5. Je, tutafika?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kodi ya majengo imeanza kutushughulikia, yaani Tshs. 5,000 naishia kupata Unit 8.5 badala ya 14.1 kama ilivyokuwa zamani.

Tunakoelekea kutakuwa na tozo ya tozo, maana anaupiga mwingi!

3FA5A9D4-F0C2-4E9C-BA86-A3AC385075C6.jpeg
 
Kodi ya majengo imeanza kutushughulikia, yaani Tshs. 5,000 naishia kupata Unit 8.5 badala ya 14.1 kama ilivyokuwa zamani.

Tunakoelekea kutakuwa na tozo ya tozo, maana anaupiga mwingi!

View attachment 1901225
Hapo umelipia Kodi ya jengo mwezi July na August, kituo kinachofuata Ni mwez September!

Kwa hyo bila shaka units ulizopewa Ni sh elf 2 na points, ukiondoa tozo nyngnezo
 
Anaupiga mwingi
Tena Sana,
Me hapa ufisin kwangu Kuna ubish mkubwa Sana wa ununuzi wa Luku, hapa walikua wananunua wa jero au buk kulingana na matumizi ya mtu binafsi sasa hivi nawaona TU!

Nilikua kwenye mchakato wa kulipia meter yng mwnyewe, sasa na haya mambo ya tozo zijaelewa kabisa nko njoa panda, maana Ni pango la ofisi , meter zitakua mbili, hii Ni yangu binafsi, huku nalipia

1)TRA=100000
2)License ya biashara=81,000
3) Registration =350,000/=
4) fire =37500
5) maji
6)umeme
7) Jengo
8) msaidizi wa kazi za office

Bado Tena 12,000? Kwa nyumba isiyokuwa yangu!!!

#Tanzania Ni nchi Tajir Sana, ilisikika sauti ya mwanamme mmoja akinena mahali!
 
LUKU
43013229455
990022123220276993
0.9KWH

2574 6597 4058 4750 5427

Cost 245.91
VAT 18% 44.26
EWURA 1% 2.46
REA 3% 7.37
Debt Collected 2,000.00
TOTAL 2,300.00

👆👆👆👆👆👆👆

Hali sasa nimbaya nikuueana njaaa

Nimenunua umeme wa 2300 nimekosa UNIT hata moja yote imekatwa nimeamnulia ut 0.9 HIVI HII NCHI TUTAFIKA KWELI......?
 
LUKU
43013229455
990022123220276993
0.9KWH

2574 6597 4058 4750 5427

Cost 245.91
VAT 18% 44.26
EWURA 1% 2.46
REA 3% 7.37
Debt Collected 2,000.00
TOTAL 2,300.00

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]

Hali sasa nimbaya nikuueana njaaa

Nimenunua umeme wa 2300 nimekosa UNIT hata moja yote imekatwa nimeamnulia ut 0.9 HIVI HII NCHI TUTAFIKA KWELI......?
Tutafika TU!

# 'Watanzania wamekubali kulipa tozo ya uzalendo", ilisikika sauti ya mwanamke mmoja mahali Fulani!
 
Magufuli alikosea Sana kuwaondoa wabunge wa upinzani bungeni,ni kosa la Karne alilofanya, na baadhi ya watanzania magoigoi wa kufikiri walishangilia Sana,hawakujua madhara
Hata wabunge wa upinzani wangekuwepo bado wabunge wa ccm wako wengi.
 
Back
Top Bottom