Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiiba umeme Kodi inabaki palepale. unaongeza matatizo tuu ukikamatwa.Hii itafanya watu waanze kuiba umeme sasa
Kununua umeme Kila siku Haina maana Kila ukinunua unalipa Kodi ya jengo. Kodi unalipa Mara moja tuu kwa mwezi. Usiponunua miezi mingi unalimbikiza Deni siku ya kununua wanakata miezi yote ambayo hukulipa.Wanataka uishe haraka ilimradi tu ununue mwingine
Hii nchi aisee, hapo Zanzibar tuu VAT ni 15 % kuna wenzetu VAT ni mpaka single digit wao wamekomaa na hiyo 18% tuu. Haya angalia hiyo EWURA 1% na REA 3% ni za nini ikiwa mikopo wanayochukua bado inatumika kusambaza umeme? Imagine pesa yako inakatwa more than 22% kweli??Kodi ya majengo imeanza kutushughulikia, yaani Tshs. 5,000 naishia kupata Unit 8.5 badala ya 14.1 kama ilivyokuwa zamani.
Tunakoelekea kutakuwa na tozo ya tozo, maana anaupiga mwingi!
View attachment 1901225
Haya ehee kwa Januari mpaka Juni itakuwaje? Au wanatumia mwaka wa fedha unaanzia July to June?Hapo umelipia Kodi ya jengo mwezi July na August, kituo kinachofuata Ni mwez September!
Kwa hyo bila shaka units ulizopewa Ni sh elf 2 na points, ukiondoa tozo nyngnezo
Eti wanasema sisi ni makondooNa hili litapita tutalizoea.
Wabongo aliyetuloga alikufa.
Ndio Kwanza ana miezi 4 madarakani sijui itakuwaje miaka 2 baadae🤔Alianza kwa kuupiga mwingi ila saivi anatupiga wengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Khaaaaa!!!!amalize chap chap aende tu kah!
Nalipa Kodi hyo nyingine natumia free tu kwa kila kituUkiiba umeme Kodi inabaki palepale. unaongeza matatizo tuu ukikamatwa.
Mama sasa hivi anatudesmsha tu sisi wananchiKazi yake kurembua tu
Ahahaha kwamba hata tozo zenyewe zitatozwaKodi ya majengo imeanza kutushughulikia, yaani Tshs. 5,000 naishia kupata Unit 8.5 badala ya 14.1 kama ilivyokuwa zamani.
Tunakoelekea kutakuwa na tozo ya tozo, maana anaupiga mwingi!
View attachment 1901225
I wish tuwe na tozo kama 100 hivi leo naona zimeongezeka wenye ma bar ukipiga mziki kwenye kiduka na nyingine lukuki mama ongeza hadi wananchi waamke na kijitambuaNa hili litapita tutalizoea.
Wabongo aliyetuloga alikufa.
Kama ipi?Kungekuwa na ahueni kidogo.
Kabisa kwa sasa ni vyema mtu ukakubali kueka pesa ya kutosha kwenye solar uachane na tanesco kabisaHaya Mambo kayaleta ghafla bila kufikiria nadhani wanaua uchumi, wenye mitambo ya solar sasa ni mda wa kufanya biashara ka ilivo ma bank kwa sasa