Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hapo umelipia Kodi ya jengo mwezi July na August, kituo kinachofuata Ni mwez September!Kodi ya majengo imeanza kutushughulikia, yaani Tshs. 5,000 naishia kupata Unit 8.5 badala ya 14.1 kama ilivyokuwa zamani.
Tunakoelekea kutakuwa na tozo ya tozo, maana anaupiga mwingi!
View attachment 1901225
Yaani President anapiga mulemule kwenye very basic needs za kila familia. Inflation coming soon.Alianza kwa kuupiga mwingi ila saivi anatupiga wengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Anaupiga mwingiHapo umelipia Kodi ya jengo mwezi July na August, kituo kinachofuata Ni mwez September!
Kwa hyo bila shaka units ulizopewa Ni sh elf 2 na points, ukiondoa tozo nyngnezo
Nakubaliana na wewe kabisaNa hili litapita tutalizoea.
Wabongo aliyetuloga alikufa.
Kodi ya majengo imeanza kutushughulikia, yaani Tshs. 5,000 naishia kupata Unit 8.5 badala ya 14.1 kama ilivyokuwa zamani.
Tena Sana,Anaupiga mwingi
Tutafika TU!LUKU
43013229455
990022123220276993
0.9KWH
2574 6597 4058 4750 5427
Cost 245.91
VAT 18% 44.26
EWURA 1% 2.46
REA 3% 7.37
Debt Collected 2,000.00
TOTAL 2,300.00
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Hali sasa nimbaya nikuueana njaaa
Nimenunua umeme wa 2300 nimekosa UNIT hata moja yote imekatwa nimeamnulia ut 0.9 HIVI HII NCHI TUTAFIKA KWELI......?
Hata wabunge wa upinzani wangekuwepo bado wabunge wa ccm wako wengi.Magufuli alikosea Sana kuwaondoa wabunge wa upinzani bungeni,ni kosa la Karne alilofanya, na baadhi ya watanzania magoigoi wa kufikiri walishangilia Sana,hawakujua madhara
Maza hatoi mda wa kujiandaaHii itafanya watu waanze kuiba umeme sasa
Haya Mambo kayaleta ghafla bila kufikiria nadhani wanaua uchumi, wenye mitambo ya solar sasa ni mda wa kufanya biashara ka ilivo ma bank kwa sasaMaza hatoi mda wa kujiandaa