Umeme wa Shilingi 5,000 nimepata Units 8.5. Je, tutafika?

Bongo kila kitu tunaingiza siasa ndio inafanya watu wanalalamika tu ilimradi ila ukiangalia hili suala hakuna hata kulalamika kwa sababu kodi ya majengo ipo tu siku zote sio kitu kipya, labda wahoji kuhusu wapangaji au kwa wenye luku zaidi ya moja ila hii ya kulalamika kukatwa buku tu kila mwezi kwa mwaka elfu kumi na mbili kodi ya majengo sioni cha kulalamika.
 
Kabisa kwa sasa ni vyema mtu ukakubali kueka pesa ya kutosha kwenye solar uachane na tanesco kabisa
Sasa buku tu kwa mwezi tena kwa kulipia kodi ambayo ilikuwepo toka mwanzo ndio ifanye uweke solar?
 
Kwenye LUKU Zaid ya moja ndio shida itakapo anzia hapo maana umakini wakufanya kazi na kulitatua TANZANIA ndio shida kubwa iliyopo.

Na uhakika kabisa hapo ndio patakuwa na changa moto kubwa sn sababu kuna nyumba zingine zina LUKU ZAIDI YA 5 zenye majina tofauti tofauti japo kuwa kinakacho angaliwa zaidi nafikiri ni Block NO na PLOT NO.
 
2025 utasikia mkinichagua nafuta Tozo za Simu wakati Sasa hivi yupo bungeni kakaa kimya anaunga mkono Tozo, hawa wagombea Urais wanatuona sisi wakudanganywa
 
Au haka kamama kalimuuwa mwendazake ili kapate urithi wa keki ya taifa
 
Kabisa kwa sasa ni vyema mtu ukakubali kueka pesa ya kutosha kwenye solar uachane na tanesco kabisa
Yes solar ni mkombozi huko kanda ya ziwa wengi Wana solar na umeme sasa wataachana na Tanesco
 
Aisee
 
Kodi ya majengo imeanza kutushughulikia, yaani Tshs. 5,000 naishia kupata Unit 8.5 badala ya 14.1 kama ilivyokuwa zamani.

Tunakoelekea kutakuwa na tozo ya tozo, maana anaupiga mwingi!

View attachment 1901225
Kwa hiyo hiyo hela yako nimepata unit 1.5
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH

0029 2493 0496 3524 7260

Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
 
Watu tunalalamika nyuma ya keyboard tukiwa ndani, Badala ya Kutoka nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…