Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
Wakuu
Ni kampuni gani hapa Tanzania inayotoa huduma sahihi za "Umeme Jua"?
Na gharama zake ziko je? Kwa mfano, umeme wa kutosheleza kuwasha vifaa vyote vya nyumbani: e.g. Friji, Pasi, TV/Radio, Taa, e.t.c
Natanguliza shukrani
BE
Uko mjini au vijijini? Ungekuwa Mwanza ningekuelekeza kwa ZARA SOLAR. Hapo utapata wataalam wa kukupigia mahesabu na kukuunganishia!
Wakuu
Ni kampuni gani hapa Tanzania inayotoa huduma sahihi za "Umeme Jua"?
Na gharama zake ziko je? Kwa mfano, umeme wa kutosheleza kuwasha vifaa vyote vya nyumbani: e.g. Friji, Pasi, TV/Radio, Taa, e.t.c
Natanguliza shukrani
BE
Wakuu
Ni kampuni gani hapa Tanzania inayotoa huduma sahihi za "Umeme Jua"?
Na gharama zake ziko je? Kwa mfano, umeme wa kutosheleza kuwasha vifaa vyote vya nyumbani: e.g. Friji, Pasi, TV/Radio, Taa, e.t.c
Natanguliza shukrani
BE
Wakuu
Ni kampuni gani hapa Tanzania inayotoa huduma sahihi za "Umeme Jua"?
Na gharama zake ziko je? Kwa mfano, umeme wa kutosheleza kuwasha vifaa vyote vya nyumbani: e.g. Friji, Pasi, TV/Radio, Taa, e.t.c
Natanguliza shukrani
BE
Wakuu
ROKY Manjagata Candid Scope
Ahsanteni sana kwa ushauri wenu ... Najiweka sawa na nadhani baada ya miezi mitatu nitakuwa kwenye nafasi ya kuanza rasmi mradi huu.
Kwa hesabu za makisio hapa tunaongelea kiasi gani? 5,000,000 - 8,000,000 TZS? Hasa hasa tukiongelea ku-order vifaa mwenyewe nje ya nchi na kufingiwa na dealers wa hapa hapa Dar...
Niliwahi kusema ni bora ukawa na solar kuliko umeme wa tanesco.
Kuna jirani yangu alifunga solar system yenye uwezo wa kuwasha nyumbani kwake na majie=rani zake wa4. Haijalishi unatumia nini ndani, ila ni umeme wa nguvu kuliko wa Tanesco na unawaka 24/7.
Pengine kutumia makampuni haya ni gharama kubwa kuliko kama unaweza kupata vifaa hivyo kwa gharama nafuu kwa kuagiza mwenyewe au kutumia watu ambao wana nafasi nzuri ya kuvipata pengine kwa gharama nafuu na hivi kuwatumia hao wataalamu waliopo Tanzania kwa kwa ajili ya ufungaji jambao ambalo linaweza kupunguza gharama.
Wengine tuna nafsi za kufanya haya kwa wenye nia, ili kupunguza gharama tunaweza kuwaleteeni full system ya solar energy kit kwa maagizo kupitia kituo chetu Dar.
Jambo la msingi kupunguza gharama sema unahitaji solar system inayoweza kutumika kwa vifaa gani ndani ya nyumba, sisi tunapoagiza huwa tuna wataalamu wa hizo solar wanajua kiwango kinachohitajika na zikifika Tanzania huko ndio unahitaji hao wafungaji tu.
View attachment 132762\
The Coleman 58050 Kit has everything you need to provide backup power in the event of a power failure or natural disaster. Providing 55 Watts of enenrgy in any daylight condition, the 58050 can power both your 12V and 110V appliances.
Feautures and Specifications:
- Works with 12Volt and 110Volt Appliances
- 55 Watts of clean and Renewable Energy
- Power Rating: Up to 55 Watts Under optimum conditions
- Current: 3.6 Amps @ 15Volts.
- No Tools required
- Portable and easy set up
- Weatherproof
- Shatterproof tempered glass
- Maintenance Free (only for USA)
- Works in all Daylight conditions
- Great for Remote and Back Up Power
- Always be prepared for Power Failures
- Includes:
- 3 x 18 Watt Solar Panels
- Metal frame for Mounting Solar Panels
- 3 in 1 wire connectors all 3 Solar Panels can be connected in an easy fashion
- 12V DC Plug, Alligator Battery Clamps and LED Voltage Tester
- 12V Socket for powering 12V Products
- Inverter
- 7 Amp Solar Charge Controller
- Manufacturers Part Number: 58050
Gharama za kufikisha vifaa muhimu vya solar sehemu kama dar ni kiasi gani. Cif price please.
Niliwahi kusema ni bora ukawa na solar kuliko umeme wa tanesco.
Kuna jirani yangu alifunga solar system yenye uwezo wa kuwasha nyumbani kwake na majie=rani zake wa4. Haijalishi unatumia nini ndani, ila ni umeme wa nguvu kuliko wa Tanesco na unawaka 24/7.
Mkuu hebu pata details za vifaa na gharama za system nzima ya jirani yako ili utujuze na sisi.
Wakuu
Ni kampuni gani hapa Tanzania inayotoa huduma sahihi za "Umeme Jua"?
Na gharama zake ziko je? Kwa mfano, umeme wa kutosheleza kuwasha vifaa vyote vya nyumbani: e.g. Friji, Pasi, TV/Radio, Taa, e.t.c
Natanguliza shukrani
BE
Mkuu hapo kwenye 110V, huku kwetu itatufaa kweli? nilitarajia ingeweza kuwasha vifaa vya 220V.Pengine kutumia makampuni haya ni gharama kubwa kuliko kama unaweza kupata vifaa hivyo kwa gharama nafuu kwa kuagiza mwenyewe au kutumia watu ambao wana nafasi nzuri ya kuvipata pengine kwa gharama nafuu na hivi kuwatumia hao wataalamu waliopo Tanzania kwa kwa ajili ya ufungaji jambao ambalo linaweza kupunguza gharama.
Wengine tuna nafsi za kufanya haya kwa wenye nia, ili kupunguza gharama tunaweza kuwaleteeni full system ya solar energy kit kwa maagizo kupitia kituo chetu Dar.
Jambo la msingi kupunguza gharama sema unahitaji solar system inayoweza kutumika kwa vifaa gani ndani ya nyumba, sisi tunapoagiza huwa tuna wataalamu wa hizo solar wanajua kiwango kinachohitajika na zikifika Tanzania huko ndio unahitaji hao wafungaji tu.
View attachment 132762\
The Coleman 58050 Kit has everything you need to provide backup power in the event of a power failure or natural disaster. Providing 55 Watts of enenrgy in any daylight condition, the 58050 can power both your 12V and 110V appliances.
Feautures and Specifications:
- Works with 12Volt and 110Volt Appliances
- 55 Watts of clean and Renewable Energy
- Power Rating: Up to 55 Watts Under optimum conditions
- Current: 3.6 Amps @ 15Volts.
- No Tools required
- Portable and easy set up
- Weatherproof
- Shatterproof tempered glass
- Maintenance Free (only for USA)
- Works in all Daylight conditions
- Great for Remote and Back Up Power
- Always be prepared for Power Failures
- Includes:
- 3 x 18 Watt Solar Panels
- Metal frame for Mounting Solar Panels
- 3 in 1 wire connectors all 3 Solar Panels can be connected in an easy fashion
- 12V DC Plug, Alligator Battery Clamps and LED Voltage Tester
- 12V Socket for powering 12V Products
- Inverter
- 7 Amp Solar Charge Controller
- Manufacturer's Part Number: 58050