Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
Wakuu
Ni kampuni gani hapa Tanzania inayotoa huduma sahihi za "Umeme Jua"?
Na gharama zake ziko je? Kwa mfano, umeme wa kutosheleza kuwasha vifaa vyote vya nyumbani: e.g. Friji, Pasi, TV/Radio, Taa, e.t.c
Natanguliza shukrani
BE