Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
Mkuu hapo kwenye 110V, huku kwetu itatufaa kweli? nilitarajia ingeweza kuwasha vifaa vya 220V.
Kuna simu, computer na vitu vinginevyo vingi tu ambavyo ni vya 110-120 vimezagaa nchi nyingi Afrika toka Marekani lakini vinatumia pia 210 -220. Mimi mara ya kwanza nilihofu hilo, wakanihakikishia wengine kwamba vyombo vya siku hizi vimeandaliwa kufanya kazi kwa aina zote mbili. Hivi hilo lisikupe shaka.