Umeme wa solar

Umeme wa solar

Escoba

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
75
Reaction score
18
Guys, nataka nifunge solar kwa matumizi ya nyumbani,,,,yeyote anayejua naweza pata wapi solar kwa Dar anambie
 
Kaka me na deal na solar energy labda nielezee mahtaj yako ya solar then ntakutumia majibu.

Mi nataka solar zisizozidi watts 100
Matumizi:
1. kuwasha TV,
2. kuchaji simu
3. kuwasha energy-saver bulb
4. etc
 
Back
Top Bottom