KERO Umeme wilaya ya Newala Mtwara unakatika sana

KERO Umeme wilaya ya Newala Mtwara unakatika sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Cog

Member
Joined
Mar 18, 2018
Posts
95
Reaction score
200
Umeme ni kero kubwa sana wilaya ya Newala kukaa siku mbili, tatu hata wiki ni kitu cha kawaida bila taarifa yeyote.

Tanesco tunaomba sana mliangalie Hili watu wanaumia, biashara hazifanyiki na mbaya zaidi ni tatizo la kudumu
 
Na kuna watu wanaenda kila siku kazini hapo TANESCO Newala?
 
Haya yanaanzi kwa viongozi tuliowapa mamlaka ya kutuongoza kama taifa..

Wanatupeleka gizani kabisa, nchi toka ipate uhuru mwaka hamsini kweusi huko mpaka leo, afya, maji, umeme, miundombinu, elimu n.k kote huko ni kero tupu
 
Yaani inakatisha tamaa kwakweli mpaka unajiuliza hayo maendeleo yanayosemwa ni yapi
 
Yaani inakatisha tamaa kwakweli mpaka unajiuliza hayo maendeleo yanayosemwa ni yapi
Ni Machawa tu ndio wanasifia, ila ukipima hayo wanayoita maendeleo vs muda uliotumika toka uhuru mpaka leo, utaona maendeleo hayo si lolote si chochote.
 
Back
Top Bottom