Umemmiss member gani wa JamiiForums?

Umemmiss member gani wa JamiiForums?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Humu Jamii forums kuna baadhi ya member michango yao ni adimu sana kiasi kwamba wakikosekana wanaacha pengo kubwa sana humu jukwaani.

Michango yao kwa namna moja au nyingine husaidia kuleta furaha, kuleta tumaini, kuwajengea members wengi hali ya kujiamini,kutoa taarifa ambazo ni very unique na ni vigumu kupatakana kutoka source yoyote ile ya habari, kuinua kipato cha members wengi kwa kuwapa mbinu mbalimbali za ujasiriamali nk.


Mimi kama mimi nimewamiss sana watu hawa.

1) Super market.

2)Iceman 3D.

3) Warumi.

4)Mzuri mie

5)Smile again.
Haya tiririkeni na nyinyi watu wenu mliowamiss.
 
Back
Top Bottom