Jukwaa limepooza sana kwa sasa rtunapita kama wasomaji tuu na sio wachangiaji
Jukwaa la MMU kumebaki story ambazo huwezi kuchangia tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jukwaa limepooza sana kwa sasa rtunapita kama wasomaji tuu na sio wachangiaji
Sawa mkuu sisi tupo tunaendelea kupambana na hali zetuJukwaa limepooza sana kwa sasa rtunapita kama wasomaji tuu na sio wachangiaji
Jukwaa la MMU kumebaki story ambazo huwezi kuchangia tena
Sikuona vibaya wala nini ni sahihi kabisaPengine uliona vibaya.
Ila sio kesi potezea .
Sio lengo la uzi.
kabisa aise wacha tupambane
Woow! Miss u more rafiki. Nilipotea kidogo.
Nilijua tu lazima huyu atajwe.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
duh kumbee.Huyo dada mzurimie alibadili akawa gorgeousmimi. I used to like her a lot
Sent using Jamii Forums mobile app
Asha dii kitambo sana aisee.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nmejimis mwenyewe