Umemmiss member gani wa JamiiForums?

Umemmiss member gani wa JamiiForums?

Hahahaaa!
I love cooking ila kujipanga niseme kupiga picha kila process na kuelezea kila process ndio shughuli.

Akina Mentor farkhina nk ndio wanayaweza hayo.
Aaah unatiririka tu,maana weye sio ukhuty tukasema una uchache wa maneno. Palipo na gap member wanajazia nyama. Jukwaa limekufa lile lazima mtu ajiyoe alibebe, na espy linakufaa mapishi na ushauri juu hahaha
 
Back
Top Bottom