Umemmiss member gani wa JamiiForums?

Umemmiss member gani wa JamiiForums?

Aaah unatiririka tu,maana weye sio ukhuty tukasema una uchache wa maneno. Palipo na gap member wanajazia nyama. Jukwaa limekufa lile lazima mtu ajiyoe alibebe, na espy linakufaa mapishi na ushauri juu hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom