Wanaongelea kumpa hela mpenzi wako bila hata kuombaNini kinajadiriwa hapa? naona wadau wanani-tag
Hilo kochi 🍆🔥🫦🫦habari za jioni wakuu, poleni na majukumu wale mnaosubiria mshahara hali ikoje?
Ni weekend ingine tena hakikisha unampa mwanamke umpendae hela😂 hata kama hajakuomba we mpe tu..
Mtaanza ooh hatuna hela, sio lazima umpe malaki au mamilioni hata ka elfu kumi mtumie tu aweke bundle au hata akatengeneze kucha….
balaaaHilo kochi 🍆🔥🫦🫦
😂 duhNamba 2 kashafungulia wanakuja usiondoke wapo kwenye kulewa wakishaibiwa na huko ulevini utawaona hapa na midomo yao mirefu km kama barabara za mwendokasi
Bwege kabisa, Hao mnaowapa hela hovyo ikiwa hata hawajawaomba muhakikishe mnawaoa ili wasije kutusumbua sisi wengine badaehabari za jioni wakuu, poleni na majukumu wale mnaosubiria mshahara hali ikoje?
Ni weekend ingine tena hakikisha unampa mwanamke umpendae hela😂 hata kama hajakuomba we mpe tu..
Mtaanza ooh hatuna hela, sio lazima umpe malaki au mamilioni hata ka elfu kumi mtumie tu aweke bundle au hata akatengeneze kucha….
mbona kwa hasira jamani😂Bwege kabisa, Hao mnaowapa hela hovyo ikiwa hata hawajawaomba muhakikishe mnawaoa ili wasije kutusumbua sisi wengine badae
Umpenhela za nini? Keani yeye hana za kwake?habari za jioni wakuu, poleni na majukumu wale mnaosubiria mshahara hali ikoje?
Ni weekend ingine tena hakikisha unampa mwanamke umpendae hela😂 hata kama hajakuomba we mpe tu..
Mtaanza ooh hatuna hela, sio lazima umpe malaki au mamilioni hata ka elfu kumi mtumie tu aweke bundle au hata akatengeneze kucha….
hana ndioUmpenhela za nini? Keani yeye hana za kwake?
Nitamtafutia kazihana ndio
you will be the best man everNitamtafutia kazi
mpambanieAtafute kazi atapata hela
Mke wa ndoa tu ndiye anayepambaniwampambanie