UMEMPA MPENZI WAKO HELA?

UMEMPA MPENZI WAKO HELA?

habari za jioni wakuu, poleni na majukumu wale mnaosubiria mshahara hali ikoje?

Ni weekend ingine tena hakikisha unampa mwanamke umpendae hela😂 hata kama hajakuomba we mpe tu..

Mtaanza ooh hatuna hela, sio lazima umpe malaki au mamilioni hata ka elfu kumi mtumie tu aweke bundle au hata akatengeneze kucha….
Hilo kochi 🍆🔥🫦🫦
 
Bwege kabisa, Hao mnaowapa hela hovyo ikiwa hata hawajawaomba muhakikishe mnawaoa ili wasije kutusumbua sisi wengine badae
 
habari za jioni wakuu, poleni na majukumu wale mnaosubiria mshahara hali ikoje?

Ni weekend ingine tena hakikisha unampa mwanamke umpendae hela😂 hata kama hajakuomba we mpe tu..

Mtaanza ooh hatuna hela, sio lazima umpe malaki au mamilioni hata ka elfu kumi mtumie tu aweke bundle au hata akatengeneze kucha….
Umpenhela za nini? Keani yeye hana za kwake?
 
Ehee.toa kitu upate kitu.
Mimi siamini kwenye mapenzi ya kweli.BALI MAPENZI NI PESA.
 
Back
Top Bottom