emhegele(jina baya ka mzizi wa bangi) nlimuA.K.A ticha wangu wa nursery
hapo sasa! Nakumbuka nmekufundisha nursery!
emhegele(jina baya ka mzizi wa bangi) nlimuA.K.A ticha wangu wa nursery
teh teh teh!.. upo my kaka!?
Ni matumain yangu wengi hapa jukwaan tumeshawaita walimu kadhaa majina ya utani, au wengine tumepewa hayo majina. Kama vipi TUKUMBUSHANE KIDOGO hapa ni JINA GAN UNALOLIKUMBUKA na KWA NINI?