Umempa mwalimu wako jina gani la utani?

Umempa mwalimu wako jina gani la utani?

Emhegele

Senior Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
122
Reaction score
6
Ni matumain yangu wengi hapa jukwaan tumeshawaita walimu kadhaa majina ya utani, au wengine tumepewa hayo majina. Kama vipi TUKUMBUSHANE KIDOGO hapa ni JINA GAN UNALOLIKUMBUKA na KWA NINI?
 
teacher whatever - geography tchr yy alikuwa kila akingia class neno 'whatever and whatever' analitaja zaidi ya mara 30,
teacher shawaa - chemistry teacher yy alikuwa hawezi kusema sawaa badala yake anasema shawaa!
Hahaaahaa noumer saanaa TEAM ndanda boys high 2011-2013
 
Last edited by a moderator:
Ni matumain yangu wengi hapa jukwaan tumeshawaita walimu kadhaa majina ya utani, au wengine tumepewa hayo majina. Kama vipi TUKUMBUSHANE KIDOGO hapa ni JINA GAN UNALOLIKUMBUKA na KWA NINI?


Nilishaitoa kwenye uzi tayari siku nyingi kidogo ....unaweza kuutafuta ukapest hapa ili kuongeza ladha
 
Jeoperdize, alikua mbabe sana na dicplin master kila ikifika zamu yake kene morning parade alikua lazima alitumie hilo neno. Kuna siku dogo wa form 5. Alipewa tangazo na huyo teacher akalitoe parade. Akajisahau akasema ''hawa wafuatao wanahitajika kwa mwalimu jeopardizer'' gues kilitokea nin hapo???? Na yeye ndo alienipa hili jina pung'o #team umbwe boys 2011-13
 
Back
Top Bottom