Umemsave jina gani mpenzi wako kwenye simu?

Umemsave jina gani mpenzi wako kwenye simu?

"Kibesi".
Maana ana sauti mkwaruzo.
 
Kama ni mtu anayenipenda sana na kunijali (msichana /mwanamke) hua nampa cheo cha juu kabisa kwenye phonebook yangu.
..Hua namsevu
>>Mama Mond au
>>Mama Ray.
Hapo ujue nakupenda kiwango cha makinikia..
oya braza
umepoteana kishenz nn shda?
 

Haya ndiyo majina niliyo save majina ya wapenzi wangu, sina mengine hao mengine nitakuwa nasingiziwa..

My Queen
Heart breaker
Only my heart
Queen Aisha
Emirate
Minar jnr
CRDB
KCB
NMB
M-Pesa
Tigo
Sa100 *(samia)*
Furushi
Halichachi
Anzisha timu ya netball
 
Back
Top Bottom