Umemsave jina gani mpenzi wako kwenye simu?

"Kibesi".
Maana ana sauti mkwaruzo.
 
Wote nimewasave kwa Majina waliyopewa na wazazi wao
 
Nilmsave Loveeee

Ila kwa sasa nimeandika jina kama lilivyo
 
Kama ni mtu anayenipenda sana na kunijali (msichana /mwanamke) hua nampa cheo cha juu kabisa kwenye phonebook yangu.
..Hua namsevu
>>Mama Mond au
>>Mama Ray.
Hapo ujue nakupenda kiwango cha makinikia..
oya braza
umepoteana kishenz nn shda?
 

Haya ndiyo majina niliyo save majina ya wapenzi wangu, sina mengine hao mengine nitakuwa nasingiziwa..

My Queen
Heart breaker
Only my heart
Queen Aisha
Emirate
Minar jnr
CRDB
KCB
NMB
M-Pesa
Tigo
Sa100 *(samia)*
Furushi
Halichachi
Anzisha timu ya netball
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…