Umemsave jina gani?

Umemsave jina gani?

Inategemeana na mood, akinivuruga kidogo nasave jina lake halisi, akiboa zaidi nasave jina lake la utotoni ama la ukoo, akiniudhi sana nafuta hadi namba zake kisha nabloq, yakiisha narudisha lile jina lake tamu na spesheli..!!

Nikiliandika hapa watu watazimia..!!
 
😂Umetisha
 
Na akizidi kuzingua sana namba inafutwa na hakuna kusave kabisa[emoji23]

Hilo jina spesheli ndiyo lipi na mimi nifanye kumsave mtoto wa mtu mdogo wangu?
 
Akikupelekea moto hadi unapaa je? Hebu weka hilo jina labda ni langu weka hata kule pm? 😜😜

Back
Top Bottom