BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,975
Yupi sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anaongelewa hapa, rafiki, ndugu, mfanya kazi, bodaboda, boss, mke, mpenzi, mchumba au mchepuko???Ukiachana na honey au jina lake la ukoo ume msave jina gani
Huyu natumia FYI
CaracalUkiachana na honey au jina lake la ukoo ume msave jina gani
Huyu natumia FYI
Azimie nani wewe mang'oma..?😀Inategemeana na mood, akinivuruga kidogo nasave jina lake halisi, akiboa zaidi nasave jina lake la utotoni ama la ukoo, akiniudhi sana nafuta hadi namba zake kisha nabloq, yakiisha narudisha lile jina lake tamu na spesheli..!!
Nikiliandika hapa watu watazimia..!!
Nikiliweka hapa jina lake mtaiga ila jueni ni jina tamu tu the name started to call itself in my head up to my hand and now it's a stamp! Nikifikia kukuita hilo jina basi jua ile nyonga mkalia ini umeikalia kwelikweli...🤣 But the name start with latter L.
We kamongo kaa kimya..😂We kibungo nini wataka kujikuta spesheli hapa?
Basi kwa furaha ya Chelsea kushinda my babe Ccy pls niandikie mimi 'yo fellow fan 😂Inategemeana na mood, akinivuruga kidogo nasave jina lake halisi, akiboa zaidi nasave jina lake la utotoni ama la ukoo, akiniudhi sana nafuta hadi namba zake kisha nabloq, yakiisha narudisha lile jina lake tamu na spesheli..!!
Nikiliandika hapa watu watazimia..!!
Hahaha hii ni kweliInategemeana na mood, akinivuruga kidogo nasave jina lake halisi, akiboa zaidi nasave jina lake la utotoni ama la ukoo, akiniudhi sana nafuta hadi namba zake kisha nabloq, yakiisha narudisha lile jina lake tamu na spesheli..!!
Nikiliandika hapa watu watazimia..!!
Dah.... Lakuchumpa? 🤣🤣🤣😜Nikiliweka hapa jina lake mtaiga ila jueni ni jina tamu tu the name started to call itself in my head up to my hand and now it's a stamp! Nikifikia kukuita hilo jina basi jua ile nyonga mkalia ini umeikalia kwelikweli...🤣 But the name start with latter L.
😂😂 Hilo la bebi wako mkuuDah.... Lakuchumpa? 🤣🤣🤣😜
HahahahaInategemeana na mood, akinivuruga kidogo nasave jina lake halisi, akiboa zaidi nasave jina lake la utotoni ama la ukoo, akiniudhi sana nafuta hadi namba zake kisha nabloq, yakiisha narudisha lile jina lake tamu na spesheli..!!
Nikiliandika hapa watu watazimia..!!
nambie malkiaBado niko singali..siku akipatikana wa ubavu wangu,Hakyamama tena jina nitakalomsave,ardhi na mbingu lazima vitetemeke.wewe mtoto wa mutu fanya fanya basi huko ulipo ukuje huku fasta na wewe...loh