Umemsave jina gani?

Umemsave jina gani?

Inategemeana na mood, akinivuruga kidogo nasave jina lake halisi, akiboa zaidi nasave jina lake la utotoni ama la ukoo, akiniudhi sana nafuta hadi namba zake kisha nabloq, yakiisha narudisha lile jina lake tamu na spesheli..!!

Nikiliandika hapa watu watazimia..!!
Azimie nani wewe mang'oma..?😀
 
Nikiliweka hapa jina lake mtaiga ila jueni ni jina tamu tu the name started to call itself in my head up to my hand and now it's a stamp! Nikifikia kukuita hilo jina basi jua ile nyonga mkalia ini umeikalia kwelikweli...🤣 But the name start with latter L.
 
We kibungo nini wataka kujikuta spesheli hapa?
Nikiliweka hapa jina lake mtaiga ila jueni ni jina tamu tu the name started to call itself in my head up to my hand and now it's a stamp! Nikifikia kukuita hilo jina basi jua ile nyonga mkalia ini umeikalia kwelikweli...🤣 But the name start with latter L.
 
Inategemeana na mood, akinivuruga kidogo nasave jina lake halisi, akiboa zaidi nasave jina lake la utotoni ama la ukoo, akiniudhi sana nafuta hadi namba zake kisha nabloq, yakiisha narudisha lile jina lake tamu na spesheli..!!

Nikiliandika hapa watu watazimia..!!
Basi kwa furaha ya Chelsea kushinda my babe Ccy pls niandikie mimi 'yo fellow fan 😂
 
Inategemeana na mood, akinivuruga kidogo nasave jina lake halisi, akiboa zaidi nasave jina lake la utotoni ama la ukoo, akiniudhi sana nafuta hadi namba zake kisha nabloq, yakiisha narudisha lile jina lake tamu na spesheli..!!

Nikiliandika hapa watu watazimia..!!
Hahaha hii ni kweli
Unaweza msevu jina zuri halafu akikuudhi unaweka jina lake halisi .
Aiseee [emoji1787]
 
Nikiliweka hapa jina lake mtaiga ila jueni ni jina tamu tu the name started to call itself in my head up to my hand and now it's a stamp! Nikifikia kukuita hilo jina basi jua ile nyonga mkalia ini umeikalia kwelikweli...🤣 But the name start with latter L.
Dah.... Lakuchumpa? 🤣🤣🤣😜
 
Inategemeana na mood, akinivuruga kidogo nasave jina lake halisi, akiboa zaidi nasave jina lake la utotoni ama la ukoo, akiniudhi sana nafuta hadi namba zake kisha nabloq, yakiisha narudisha lile jina lake tamu na spesheli..!!

Nikiliandika hapa watu watazimia..!!
Hahahaha
 
Bado niko singali..siku akipatikana wa ubavu wangu,Hakyamama tena jina nitakalomsave,ardhi na mbingu lazima vitetemeke.wewe mtoto wa mutu fanya fanya basi huko ulipo ukuje huku fasta na wewe...loh
 
nambie malkia
 
Back
Top Bottom