😂UmetishaInategemeana na mood, akinivuruga kidogo nasave jina lake halisi, akiboa zaidi nasave jina lake la utotoni ama la ukoo, akiniudhi sana nafuta hadi namba zake kisha nabloq, yakiisha narudisha lile jina lake tamu na spesheli..!!
Nikiliandika hapa watu watazimia..!!
Na akizidi kuzingua sana namba inafutwa na hakuna kusave kabisa[emoji23]Inategemeana na mood, akinivuruga kidogo nasave jina lake halisi, akiboa zaidi nasave jina lake la utotoni ama la ukoo, akiniudhi sana nafuta hadi namba zake kisha nabloq, yakiisha narudisha lile jina lake tamu na spesheli..!!
Nikiliandika hapa watu watazimia..!!
Hahaa..!!Na akizidi kuzingua sana namba inafutwa na hakuna kusave kabisa[emoji23]
Hilo jina spesheli ndiyo lipi na mimi nifanye kumsave mtoto wa mtu mdogo wangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa..!!
Lovely C'ssy, nitakutonya kule hapa watu watatafutana hapa acha kabisa..!!
Inategemeana na mood, akinivuruga kidogo nasave jina lake halisi, akiboa zaidi nasave jina lake la utotoni ama la ukoo, akiniudhi sana nafuta hadi namba zake kisha nabloq, yakiisha narudisha lile jina lake tamu na spesheli..!!
Nikiliandika hapa watu watazimia..!!