π Yote maishaNimem save Sweetlove ni miaka mingi mnooooo sasa. Ni mke wangu, ila cha ajabu yeye namba yangu moja haja save, nyingine kani save Baba na ni miaka 14 sasa tuko pamoja ndoani π. Na mim kuna nambabyake moja huwa sina na sijai kariri
Nikimaanisha nimemsave JehuUkimaanisha
Au access denied'error'