realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
- Thread starter
- #81
Angeuliza kwanza kwa nini amsave hivo?Kuna mwanamke alimsevu mumewe kwenye simu "MBWA"
Kuna siku jamaa akawa anatafuta simu ya mkewe akaona isiwe tabu ngoja aipige. Alipoiona jina alilokutana nalo aliishiwa pumzi. Yule bwana hakutaka maneno mengi, aliichukua simu Hadi kwa baba mkwe na kumuachia simu baba mkwe na kumwambia amwite mtoto wake.
Jamaa Sasa hivi anainjoi ubachela upyaa. Anaweza asirudi au arudi saa kumi usiku. Anaweza kwenda kulala bila kupiga mswaki. Anaweza kuvaa boxer hata wiki nzima.