Umemsave kwa jina gani Mpenzi/Mke/Mume kwenye simu yako?

Umemsave kwa jina gani Mpenzi/Mke/Mume kwenye simu yako?

Watu wengi hutumia Majina mazuri ya kuvutia kwa watu wanaowapenda.

Na kuna wale wenye wapenzi wengi hutumia Majina ambayo sio mazuri sana kuwa save watu hao kwenye simu zao.

Mimi nime msave 💖 wewe Je umemuandika vipi?
.
 
Mimi nimesave kwa jina lake halisi FaizaFoxy na niko tayari kulitetea ukitokea mtiti na mama watoto
 
Kuna mwanamke alimsevu mumewe kwenye simu "MBWA"
Kuna siku jamaa akawa anatafuta simu ya mkewe akaona isiwe tabu ngoja aipige. Alipoiona jina alilokutana nalo aliishiwa pumzi. Yule bwana hakutaka maneno mengi, aliichukua simu Hadi kwa baba mkwe na kumuachia simu baba mkwe na kumwambia amwite mtoto wake.
Jamaa Sasa hivi anainjoi ubachela upyaa. Anaweza asirudi au arudi saa kumi usiku. Anaweza kwenda kulala bila kupiga mswaki. Anaweza kuvaa boxer hata wiki nzima.
 
Back
Top Bottom