Umemsave kwa jina gani Mpenzi/Mke/Mume kwenye simu yako?

Umemsave kwa jina gani Mpenzi/Mke/Mume kwenye simu yako?

Hata nimeshindwa kumsave kwakweli kila jina naona halitoshi kuelezea utamu wa huyu mtoto nimeacha ikae hivyo tu mpaka siku akinizalia nimuite Mama Mtu.
 
-Mkaa sokoni
-Honi kusokota
- Juma msusi dredi
-Kisamvu gengeni
-Mpambanaji kusini
-taiti deni
-Mdhulumati
-Loading successful
-Vitumbua
-Maiko fundi

Hawa wote kila mmoja alicheza shoo.

Cha ajabu,wanawake hawakosei mchezaji,hata awe nao 5k, kila mmoja anatambulika.
 
Back
Top Bottom