Umemsave vipi mpenzi wako kwenye simu yako?

Nimemsave "Dada mchora Piko wa K'koo"
Sasa siku aamue kumton.g.o.z.a,
Ndipo takapokutana na Kidume mwenzie.

Undava undava tu!!!
 
Mimi nimemuweka Mwwaa!!! Kwa kuwa alinambia hapendi salam anapenda kiss yangu iwe ndio salam. Inanisaidia kunikumbusha.
 
mmh!..huyu wa sasa ivi hata sijamsev kwenye simu!!
nimempa nafasi moyoni...yeye na namba yake!
 
mmh!..huyu wa sasa ivi hata sijamsev kwenye simu!!
nimempa nafasi moyoni...yeye na namba yake!...
 
Umemsave vipi mpenzi wako kwenye simu yako, na nn sababu ya jina hilo?

Mwenzenu nilishika simu ya demu wangu nkajibip nikakuta nimeseviwa 'AUNT MBAGALA' nilichoka hadi nywele
 
Waridi NastyBby hivyo ndivo nilivyomsajili .
Unaswali jingine ?
 
Heart desire maana ana ukonga moyo wangu..
 
ha ha ha.. Kongosho leo utalala sebuleni.....omba mungu asipitie huku akusome. hivi kumbe ndo maana ake...alaa, baba nani..mpe heshima yake banaaa
Baba Abasi, sababu ni baba yake na Abasi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…