Umemsave vipi mpenzi wako kwenye simu yako?

Umemsave vipi mpenzi wako kwenye simu yako?

Nimemsave "Dada mchora Piko wa K'koo"
Sasa siku aamue kumton.g.o.z.a,
Ndipo takapokutana na Kidume mwenzie.

Undava undava tu!!!
 
Mimi nimemuweka Mwwaa!!! Kwa kuwa alinambia hapendi salam anapenda kiss yangu iwe ndio salam. Inanisaidia kunikumbusha.
 
mmh!..huyu wa sasa ivi hata sijamsev kwenye simu!!
nimempa nafasi moyoni...yeye na namba yake!
 
mmh!..huyu wa sasa ivi hata sijamsev kwenye simu!!
nimempa nafasi moyoni...yeye na namba yake!...
 
Waridi NastyBby hivyo ndivo nilivyomsajili .
Unaswali jingine ?
 
ha ha ha.. Kongosho leo utalala sebuleni.....omba mungu asipitie huku akusome. hivi kumbe ndo maana ake...alaa, baba nani..mpe heshima yake banaaa
Baba Abasi, sababu ni baba yake na Abasi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom