Kabisaaa nakubaliana na wewe!!ahaaaa umeona eheee, ki korea jina hili liko romantic sana. tho sidhani kama anajua maana yake, mara nyingine namseve mr gentleman mara nyingine superman ahaaaaaa he is so mwaaa!
Ni mmoja tu mkuu sema ana number nyingi ,,kutokana na kazi yakeeDuh! Wote hao ni wako?
Nimependaa sna jibu hiliNimefungua aplicatin ya contact.
Nikafungua option ya kuongeza contact.
Nikajaza sehemu ambayo inatakiwa uandike namba ya mobile.
Nikajaza sehemu ya kuandika jina.
Alafu nikaenda ktk kipengele ambacho kimeandikwa Save.nikaibinya.
Ile namba na jina yakawa yamesaviwa ktk simu.
Hivyo ndivyo tunavyosave Namba ya simu.
Si anafahamika nyumba[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kwa nini
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Scorpion