Umemsave vipi mpenzi wako kwenye simu yako?

Umemsave vipi mpenzi wako kwenye simu yako?

ahaaaa umeona eheee, ki korea jina hili liko romantic sana. tho sidhani kama anajua maana yake, mara nyingine namseve mr gentleman mara nyingine superman ahaaaaaa he is so mwaaa!
Kabisaaa nakubaliana na wewe!!
 
Nimefungua aplicatin ya contact.
Nikafungua option ya kuongeza contact.
Nikajaza sehemu ambayo inatakiwa uandike namba ya mobile.
Nikajaza sehemu ya kuandika jina.
Alafu nikaenda ktk kipengele ambacho kimeandikwa Save.nikaibinya.
Ile namba na jina yakawa yamesaviwa ktk simu.
Hivyo ndivyo tunavyosave Namba ya simu.
Nimependaa sna jibu hili
 
Zamani nilikuwa ninawasave namna hii, (star girl ) wizkidayo, run town, patoranking, platnumzwife, girlwarara.....
 
Back
Top Bottom