Umemsave vipi mpenzi wako kwenye simu yako?

Sasa huyo jamaa ameuliza wapenzi wetu, sio wake zetu
kwa hiyo bae una mpenzi sio? looo moyo wangu mie tulia maana umeangukia sehemu ambayo ni hatari.

my heart and I thought we had a right couple kumbe mmmmh
 
Wee ni wangu wa milele bae, sitokengeuka kamwe
 
Back
Top Bottom