Mbona wamestaafu wakiwa wadogo hivyo? Hawajafikia umri wa Zlatan Ibrahimovic wa sasa wala umri aliostaafia soka Madaraka Suleimani.
Wanatia huruma kweli. Pole yao. I wish there was a third golden chance for them labda hiyo wangeitumia vizuri (baada ya kijifunza maisha ya msoto).