Kumsaidia MTUNatumaini mko good maisha yanasonga,iv kwann wadada na wanawake wanapenda kuuliza ili swali "umenifanyia kitu gani mpaka sasa" kuna msichana nipo nae, kwenye mahusiano sasa tuna mwezi jana tumepishana kauli akaanza kuuliza ili swali ikabidi nimwambie kwaiyo upo na mimi ndo kuna lengo unataka kutimiza mpaka unahoji swali ili naombeni wadada jibu kwann mnapenda swali ili
Umeshajiuliza/mmejiuliza kwa pamoja kwamba mna nia ipi katika uhusiano wenu?Ni suala la kushirikishana na siyo mmoja amuangalie/amtegee mwenzie na kusubiri tu apewe neno au afanyiwe jambo kama mlamavu.Yaa mtu tupo na mwezi anaanza kuhoji nimemfanyia kitu gani
Ndo hivyo mkuu ukiokota tunda jalalani sio vizuri kulalamika limeoza endelea kucheza ligi ndogo kwanzaYaa mtu tupo na mwezi anaanza kuhoji nimemfanyia kitu gani