Umeniharibia maisha! ...what?


...Maty weee, ha ha ha....'kula nkule sio?'


mkuu ujue hili ni mtu na mtu tu....Ukiona mtu amejiua au anataka kujiua si utani anajua mwenyewe tu how pains he/she is facing.....Usiusemee moyo alisemaga lady jaydee

magulumagulu taratibu bana, kujiua sio suluhisho la matatizo. Mbu is here to listen!....nipo tayari kusikiliza kilio cha yeyote anayefikiria maisha yamemshinda. My number is [
...................................................... ]...acha ujumbe, nitakupigia.

...lengo, nia na madhumuni ya topik hii ni kuwapa insight ya mental health (kuboresha.)
Kwa wenye mioyo dhaifu, natanguliza ombi la msamaha kama nitakuwa nimewakwaza kwa njia moja au nyingine.
 

........................... natanguliza ombi la msamaha kama nitakuwa nimewakwaza kwa njia moja au nyingine.
Watakusamehe wooooote, ila mi ntakusamehe baada ya kumalizana na wewe kwenye ile kesi yetu............ huwezi kuniharibia maisha namna hii afu nikusamehe kirahisi namna hii..........na ofkozi msamaha utatolewa pale tu ntakaposhinda hiyo kesi.
 
Reactions: Mbu
Hilo neno is overused.unatoka na mtu miezi miwili ukimbwaga anakushtumu umemwaribia maisha.kwa mtazamo wangu hilo neno litumiwe na mtu mwenye lasting effect kama vile uliyezaa naye
 
Reactions: Mbu
Ukikubali mtu akuharibie maisha, umekubali kumpa mtu nguvu juu ya maisha yako. Hakuna kiumbe chochote ambacho kina haki hiyo juu ya kiumbe kingine. So; kama maisha yako yameharibiwa get it fixed. Haraka. Inua macho yako, jikung'ute vumbi, okota vilivyoanguka - visivyo haribika sana vikusanye utatengeneza baadaye, vilivyomwagika ndiyo imekula kwako. Take the first step to move from where you fell. Ukipiga hatua ya kwanza utapata na ya pili. Don't worry about tomorrow. Worry about today for tomorrow is only today delayed by 24 hours.
 
Atleast ulipata wa kukufuta machozi, na wanatakaga wakikuacha urande na njia ukose hata wa kukupa habari, akikuona umependwa tena wanakuwa hawaamini as if aliondoka na roho yako yote
 
Pole siku hamia airtel wenzako wote tumehamia wewe unasubiria nn?
Tatizo sina haja na WENZANGU wote, bali Gaga wewe........lakini ndo ishakula kwangu tena....kwanini lakini?
 
Leo leo Gaga,Maty,MJ na nyamayao kuna mtu atanyofolewa huko aliko kama naziona hasira zinavoishia kwenye keyboard.
Yaaani zitanyofolewa nzimanzima wakileta za kuleta
 

Nimeipenda hii
 
Huwezi amini nguvu ya hii thread, imeniamsha kweli. Not too long ago nilikuwa kwenye mstari wa kulaumu mwenza kwa my own failures, lakini baada ya kusoma na kutafakari nimepata nguvu mpya ya kuendelea ndoto zangu na taratibu naanza kuchukua control ya maisha yangu, asante sana Mbu.
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…