ha ha ha ha ha!!kale kadude ka like sikaoni!!!waache hao hawana hata upendo tena na wazazi wao,
sijui kwa hao wapenzi wao wanawapendaje.
mmmh!mkuu bdo,kuna uhusiano kati ya kufiwa na ukubwa!!!mbona mimi bado mdogo sana na nimefiwa pia!!
oh! tafuta sababu ya kupendwa........... umeona mama kafanya nini mpaka nikasema nampenda? anajali sana, na hii nimeiona muda mrefu. kiukweli kabisa nampenda mnonilitaka kujua tu!!natamani ungekuwa unanipenda na mimi hivyo!!!
mmmmh!!ok,uwe unafuatilia post zangu kuanzia leo,nitakuwa naamkia kabla ya post!!shikamoo!!vipi hiyo haiwezi kuwa sababu tosha ya kunipenda!!!ha ha ha ha!oh! tafuta sababu ya kupendwa........... umeona mama kafanya nini mpaka nikasema nampenda? anajali sana, na hii nimeiona muda mrefu. kiukweli kabisa nampenda mno
kama utakuwa unaniamkia mimi, naanza kukupenda rasmimmmmh!!ok,uwe unafuatilia post zangu kuanzia leo,nitakuwa naamkia kabla ya post!!shikamoo!!vipi hiyo haiwezi kuwa sababu tosha ya kunipenda!!!ha ha ha ha!
ha ha ha ha ha ha!!siyo wewe tu,wote nitakuwa nawaamkia!kama utakuwa unaniamkia mimi, naanza kukupenda rasmi
poa, ngoja tusiendelee kuchakachua thread ya msibaha ha ha ha ha ha!!siyo wewe tu,wote nitakuwa nawaamkia!
Nimezamishwa kinani, kwenye lindi la huzuni,
pakushika sipaoni, mwenzenu ni simanzini,
Nina uchungu moyoni,limenikuta jamani,
Umenipata msiba.
Mwana kukuza nyumbani, na vyuoni masomoni,
Nikamfunza kanuni, za kuishi maishani,
Za kuheshimu jirani, na wakubwa majiani,
Ametoweka.
Kama mvuke wa chai, mwanangu amenihini,
umemtoka uhai, sijui nifanye nini,
Leo mfu siyo hai, amelala kitandani,
Kifo kimemzingira.
Nyumba yote ni vilio, waja hawasikizani,
Alikuwa kimbilio, la kwangu na majirani,
Kweli mola atakalo, hutokea dunia,
Mwanangu nakulilia.
Najipangusa machozi, ni mkiwa wa wakiwa,
Lilikuwa pandikizi, mwenye tabia muruwa,
Leo hii hajiwezi, hakuna analotambuwa
Umenipata msiba!!