Umenipendea nini hivi hili swali nyie hua mnajibuje

Umenipendea nini hivi hili swali nyie hua mnajibuje

Nimekupendea macho yako ,maana ulivyonitazama tu niliona kama unaniita mtt sinyoritaa ..

Au namdanganyana .hakika ww n mrembo ila ktk maisha yako umekosa kitu kimoja tu ,nacho ni namba yangu nakuwa na mwanaume km ambaye ntakuwa nakusifia hata ukijambaaa mpnz
 
Back
Top Bottom