Umeniteka kwako sijiwezi nyang'anyang'a

Umeniteka kwako sijiwezi nyang'anyang'a

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Natumaini mnaendelea vyema nyote,nimewamiss wanachitchat nimerudi haka kajukwaa nakazimia u know[emoji8][emoji8] zamani sikujua kama chit chat ni tamu hivi.
Nimekaa leo peke yangu tu mara nasikia nyimbo ya Chemical na Beka flavour inaitwa asali nadhani aisee nimeipenda sana nadhan mkiipakua mtaniambia sijui kuweka nyimbo hapa.
Chemical umeniweza kwenye hii nyimbo maana nikifikiria dah nahisi kutekwa live. Baadhi ya maneno ni haya yamuendee my habbity,sweet love ,,unamfaa sana huu wimbo maana nae kaniteka kweli na zile lips zake zilivyo tamu na meno yenye mpangilio mzuri
Akitabasamu basi hali kwangu si shwari nachanganyikiwa kabisa nikizidi kuisikia sauti yake nzito yenye mikwaruzo halaf akiniita jina langu sasa wewe Am going crazy jamani
Basi naqoute maneno ya chemical hapa yamuendee yeye

"Siwezi kuondoka siwezi say hapana,kwako nasarenda mi mateka, vile unanifanya unanichanganyaaa,you are the only one,only one boo twende tukachill mi na wewe bambuu,sina ishu we ndio ishu yangu tu,ukiniita kimamii mi nakuita kibabuu tu haaa ,umeniteka naona raha tu sitaki kuimba sitaki rap,maneno mingi vishakunaku sina macho kwa wengine naona kama uchafu haa umenitekaa kwako naweweseka watanizikaa kwako nishadata am going crazyyy[emoji7][emoji7][emoji7],,"

"Tule dagaa tulale njaa tukose chapaa,tutakomaa tutakazaa kwanza hadhikizi haja,niite karibu baby najaa,nipe mapenzi nipe ladha nyingi nyingii ,bao lako we nami la ushindi ,nikushike usimamishe ndi ndi ndii ndiii hahahaha naona raha tu sitaki kuimba sitaki rap,maneno mingi vishakunaku sina macho kwa wengine naona ka uchafu haha ...umeniteka naweweseka baby watanizika zika kwako nishadata am going crazyyy

........ penzi unalonipa nichepuke vipi,nimekushika umenikamata nimeng'ang'ania kwako sibanduki,sina mali unanipenda wanauliza vipi,, why kwangu umeng'ang'ana,inawakereketa wapambe nuksi tunaishi kwa imaniiii haturudi nyumaa "Mama Sabrina" milele daima "Mama Sabrina" tuzidi pendana milele daima

"Umeniteka naweseseka kwako sijiwezi nimeshadata haaaa am going crazyyy baby

Nimeupenda huu wimbo aisee una vimaneno vitamu sana basi umuendee G.... (sitaji jina lake la jf akija mwenyewe atajua tu)
G..umeniteka zile lipsi sio za dunia hii jamani nahisi damu zetu zimepatana aisee ule uzi wa hamorapa umenikutanisha na mkaka mtamu hiv halaf kabila lake sasa nyie ni yale makabila yakikamata k lazima ulie kikabila na hukifiwi kabisa utataka tena na tena sasa nyie mnadhani kweli hapa kuna kupindua kweli ??aaah siwezi nyie dunia itanishangaa kiukweli ,kasema kanipenda nilivyo na hii flat screen atainyonya yote,, sasa Behaviourist ukome kuninyapaa kabisa kila saa kunidai chura chura
We mwanaume utaniua ujue upunguze kidogo tu hataki nipumue ati
Anataka muda wote niwe na furaha ananiambia "Mama Sabrina nimezaliwa kumpa mwanamke furaha na raha tu nitakupa vyote navyoweza kukupa" mama yake alimuambia amuheshimu mwanamke hapa duniani [emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda mimi jomoni[emoji131][emoji131][emoji131]


Inatosha kwa leo ngoja nikafagie uwanja mie muwe na siku njema
 
Wewe bwana hawakukunji vilivyo.usingeata muda wa kuandika mashairi marefu hivi.
Ivuga umeanza lini kupatwa wivu inna hakutendei haki eti
Umechelewa chelewa mwenzio kawah kabisa
Kidogo tu unipate umeshindwa basi mwachie mwenzio
 
Bila shaka kazipata aiseee. We G ndio ujue sasa mama Sabrina hajiwezi huko aliko. Teh teh.

Kupenda na kupendwa siku zote kuna raha zake jamani lol sababu maneno matamu ya dunia nzima lazima kupeana hata yale mengine ambayo unaweza yawaza mara kumi kumi ila mwisho wa siku tunayaona yanatustahili.

Japokuwa siku kikinuka sasa. [emoji40]
 
Bila shaka kazipata aiseee. We G ndio ujue sasa mama Sabrina hajiwezi huko aliko. Teh teh.

Kupenda na kupendwa siku zote kuna raha zake jamani lol sababu maneno matamu ya dunia nzima lazima kupeana hata yale mengine ambayo unaweza yawaza mara kumi kumi ila mwisho wa siku tunayaona yanatustahili.

Japokuwa siku kikinuka sasa. [emoji40]
Acha tu Emmyta ananipa raha sana ujumbe keshaupata na kapiga simu kayapokea hayo maneno
Unajua si kila mahusiano yaishie kwenye ndoa hapana yanaweza fika huko au yasifike lakin kama mtu anakupenda kwanini usipendeke jamani

Hapo mwisho ni watu wachache na wenye uelewa mdogo au huwezi jua maumivu ya kila mtu na ustahimilivu wake
 
Back
Top Bottom