Umeoa au umeolewa?

torvic

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
3,978
Reaction score
9,841
umeoa au umeolewa?
bandugu, mnaonaje kujitahidi kuwa wa kweli kwa hili itasaidia sana endapo mtu akikufata Pm uko anajua kama ana deal mke wa mtu au mme wa mtu..
ukweli utakuweka huru [emoji12] [emoji12]
 
Samahani kwa kuchelewa kufika kwenye huu Uzi......
Huwa nashangaa sana hizi threads za pale mtu anapo tamani kumjua mwingine kiundani, wakati huohuo yeye haja bainisha kwaupande wake kile chenye anataka wengine waweke wazi....

Naomba kuwasilisha
 
Unatakiwa uende na kipindi kinavyokwenda,huna haja ya kujitambulisha mapema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…